N NUHWAHI JF-Expert Member Jan 23, 2014 303 463 May 28, 2014 #1 Jamani,mwenye kujua kiundani kwanini CHINA haishiriki mashindano ya kombe la dunia,anijuze kidogo. Natanguliza shukrani.
Jamani,mwenye kujua kiundani kwanini CHINA haishiriki mashindano ya kombe la dunia,anijuze kidogo. Natanguliza shukrani.
mrangi JF-Expert Member Feb 19, 2014 80,863 106,116 May 28, 2014 #3 timu yao ya wanaume mara nyingi huwa hawafuzu ila chona wana timu yao ya wanawake wao ndiyo wako vizuri huwa wanashiriki kombe la dunia upande wa mademu
timu yao ya wanaume mara nyingi huwa hawafuzu ila chona wana timu yao ya wanawake wao ndiyo wako vizuri huwa wanashiriki kombe la dunia upande wa mademu
angedizzle JF-Expert Member Aug 8, 2011 590 504 May 28, 2014 #4 NUHWAHI said: jamani,mwenye kujua kiundani kwanini CHINA haishiriki mashindano ya kombe la dunia,anijuze kidogo..natanguliza shukrani Click to expand... Kwani sisi Tanzania tumeshiriki lini?
NUHWAHI said: jamani,mwenye kujua kiundani kwanini CHINA haishiriki mashindano ya kombe la dunia,anijuze kidogo..natanguliza shukrani Click to expand... Kwani sisi Tanzania tumeshiriki lini?
QALLI MIZOH JF-Expert Member Mar 19, 2014 2,075 693 May 28, 2014 #5 Wao wapo kwenye mashindano ya teknolojia na innovations..
Tugutuke JF-Expert Member Apr 21, 2011 501 165 May 28, 2014 #6 angedizzle said: Kwani sisi Tanzania tumeshiriki lini? Click to expand... Umeniwahi china wapo bize na simu na maghorofa ya mabox. Tanzania iko bize na kusafiriaha Twiga na meno ya tembo plus Sembe
angedizzle said: Kwani sisi Tanzania tumeshiriki lini? Click to expand... Umeniwahi china wapo bize na simu na maghorofa ya mabox. Tanzania iko bize na kusafiriaha Twiga na meno ya tembo plus Sembe
Malafyale JF-Expert Member Aug 11, 2008 13,813 11,126 May 29, 2014 #7 Huwa wanashindwa kupenya ushindani wa awali wa Bara la Asia!Kama TZ tunavyoshindwa Bara la Afrika
cnjona JF-Expert Member Mar 24, 2014 1,027 239 May 29, 2014 #9 nuhwahi said: jamani,mwenye kujua kiundani kwanini china haishiriki mashindano ya kombe la dunia,anijuze kidogo. Natanguliza shukrani. Click to expand... hawajafuzu kucheza world cup
nuhwahi said: jamani,mwenye kujua kiundani kwanini china haishiriki mashindano ya kombe la dunia,anijuze kidogo. Natanguliza shukrani. Click to expand... hawajafuzu kucheza world cup
fionafinelady New Member Aug 8, 2013 2 0 May 29, 2014 #11 ommymbwambo said: Wachezaji wote wamefanana. Click to expand... Hahahahaha
ITEGAMATWI JF-Expert Member Jan 26, 2012 5,310 4,040 May 29, 2014 #12 Kwani umesahau World Cup 2002 iliyofanyika Korea and Japan mbona walikuwepo. Nadhani kwanza ungeuliza kwanini Tanzania huioni world cup aua hata AFCON
Kwani umesahau World Cup 2002 iliyofanyika Korea and Japan mbona walikuwepo. Nadhani kwanza ungeuliza kwanini Tanzania huioni world cup aua hata AFCON
Malcolm X5 JF-Expert Member Jun 3, 2013 1,628 2,720 May 30, 2014 #13 time theory said: Umejaribu kugoogle???? Click to expand... We kiboko...hilo pia linahitaji kugoogle lol
time theory said: Umejaribu kugoogle???? Click to expand... We kiboko...hilo pia linahitaji kugoogle lol