jamani,mwenye kujua kiundani kwanini CHINA haishiriki mashindano ya kombe la dunia,anijuze kidogo..natanguliza shukrani
Kwani sisi Tanzania tumeshiriki lini?
jamani,mwenye kujua kiundani kwanini china haishiriki mashindano ya kombe la dunia,anijuze kidogo.
Natanguliza shukrani.
Wachezaji wote wamefanana.
Umejaribu kugoogle????