Msaada kuhusu Cheti cha la Saba

Msaada kuhusu Cheti cha la Saba

yungsteval

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
309
Reaction score
109
Habari.

Jana nilenda shule ambapo nilimalizia elimu yangu ya msingi kuchukua cheti changu, nikaambiwa ili nikipate lazima nitoe kiasi cha sh 5000.

Je hiyo ndo bei yake au vinatolewa bure?
 
Habari.....jana nilenda shule ambapo nilimalizia elimu yangu ya msingi kuchukua cheti changu.....nikaambiwa ili nikipate lazima nitoe kiasi cha sh 5000.....je hiyo ndo bei yake au vinatolewa bure??
duh..,huo mkoa gan mkuu,hcho cheti cha form six tu kinatolewa bure iwe hcho cha la saba?kinatolewa bure kabsa nenda na passport size mbili,wakikuzngua nenda serikali za mitaa ukatoe taarifa
 
mikazó;8769810 said:
duh..,huo mkoa gan mkuu,hcho
cheti cha form six tu kinatolewa bure iwe hcho cha la saba?kinatolewa
bure kabsa nenda na passport size mbili,wakikuzngua nenda serikali za
mitaa ukatoe taarifa

poa mkuu.....hiyo shule ipo dar na ni wilaya ya kinondoni
 
Kinatolewa bure
Njaa zao tu zinawasumbua
 
mikazó;8769810 said:
duh..,huo mkoa gan mkuu,hcho cheti cha form six tu kinatolewa bure iwe hcho cha la saba?kinatolewa bure kabsa nenda na passport size mbili,wakikuzngua nenda serikali za mitaa ukatoe taarifa

Aende PCCB kabisa. Maana hiyo ni rushwa ikiyokithiri.
 
ndugu yangu kuwa mpole awo wanaokujaza ujinga, ukikosa hatakuwepo. ukijifanya mjanja watakambia havipo. maoni yangu
 
ndugu yangu kuwa mpole
awo wanaokujaza ujinga, ukikosa hatakuwepo. ukijifanya mjanja watakambia
havipo. maoni yangu

bahati nzuri niliuliza na wakasema vipo....iweje waje kusema havipo??...
 
Kinatolewa bure kabisa hicho, nenda PCCB kachukue za moto maana yake ni upuuzi huo sasa.
 
Wape tu bana. usiwe na mkono wa birika uwe unatoa bana.
 
Havipo vimeenda wap? Ni wajibu wa shule kulhakikisha vyeti vipo teena havina majina unaenda na kuandikiwa na peni ujinga ni kiweka mpole katika kudai haki yako mkuu
ndugu yangu kuwa mpole awo wanaokujaza ujinga, ukikosa hatakuwepo. ukijifanya mjanja watakambia havipo. maoni yangu
 
Yaani ata mimi nimechajiwa buku 5000 nitawashitaki kwa kweli apo apo wenzangu wamechukua kwa buku mbili
 
hiyo buku tano ni storage fee/charge wanasema kama utachukua baada ya miaka miwili kumaliza shule ni bure lakini kama imepita zaidi ya miaka 2 wanakata gharama za kukutunzia, me walinikata hiyo buku tano nilipoenda kuchukua cha a level,nilimaliza 2006 nikaenda kuchukua 2013
 
Hakuna cha storage fee/ charge wala nini wahuni hao huo muongozo wameutoa wapi? Tuma jina la hiyo shule na mkoa ilipo nikurahisishie hiyo kazi na wote ambao vyeti vyao vimebaki hapo
 
Back
Top Bottom