Nakushauri achana nayo, hakuna virusi wanaosababisha Herpatitis. Ni kemikali nyingi tunazotumia ndio huharibu ini, ukiacha kutumia kemikali unapona fasta.
Usiseme sijakuambia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hawa wanaogundua chanjo kwa nini wasifanye kutafuta chanjo ya HIV?
Kwahiyo Unanishauri Nichome Sio Mkuu?Nilipata Hepatitis B mwaka 1978 nilipewa miwa na maji mengi ila kuna daktari alinichoma sindano karibu iniue. Nilipona.
Mwaka 1994 nilipewa kinga ya H. a and c dose tatu na nikamaliza. Kuanzia pale kila nikienda medical Examinationa Annual huwa naambiwa nina kinga ya H ab and c. Ninaamini ukipata kinga au ukishaugua unakuwa umejijengea kinga sababu hizi ni virus siyo bacteria infection kusema zinajirudia. Yes unaweza kupata magonjwa ya ini kama Fat liver lakini siyo hizo zingine. Naomba kukosolewa maana mie siyo dakatri ila nafanya checkup ya mwili wangu kila mwaka. Nimeambiwa nina mafuta kidogo kwenye ini hivyo nipunguze unene. Nimepunguza kilo 7 za unene wangu na najisikia vizuri.
Asante Mkuu Kwa Ushauri WakoMm sio mtaalamu wa afya lakn sidhani kama kuna ukweli wa ulichokisema juu ya chanjo!!
Kwa uelewa wangu mdogo ni kuwa chanjo ni bacteria/virus waliopoozwa na hivyo hawana madhara yeyote mwilini!! Lengo ni kustimulate mfumo wa ulinzi mwili hivyo mwili huzalisha askari wengi kwa ajili ya kupambana na bacteria/virus wa aina ile!! Hivyo mwili hupata ulinzi ndio maana hawawezi kuugua aina ya ugonjwa ule
Kama hujaugua nakushauri uchome tena kwa zote tatu.
Ni ngumu sana kupata chanjo ya HIV sababu HIV anabadilika kila siku(Mutation) na pia kuna strain tofauti za HIV virus.
Yani ukitengeneza chanjob ya HIV mwaka huu baada ya muda haifanyi kazi kabisa maana ni kama virus anabadilika na amekuwa mwingine.
Kama hujaugua nakushauri uchome tena kwa zote tatu.
Je, mtu ambaye hajaugua ila ndio kachoma sindano ya kwanza, bado zingine mbili, je kabla hajamaliza hizo mbili zilizobakia akikutana na mwenza ambaye ni mwathirika wa homa ya ini, anaweza kuambukizwa?Kama hujaugua nakushauri uchome tena kwa zote tatu.