Kila mara nasema mfumo wetu wa kumuandaa Dereva hauko sawa kabisa,kabla ya kujuwa bonet na jinsi ya kufungua tairi unapashwa kujua unafungua ili kufanya nini, ukisha fungua unatatua tatizo au unafanya uchunguzi wa kawaida au kunatatizo la ghafla limekutokea?.Katika mfumo wa udereva unapashwa kuanzia kujifunza, Pre check/ pre start/ hizi nibaadhi ya hatua za mwanzo kabisa za kulijua gari lako, lakini madarasa mengi ya udereva huwa yanafundisha madreva wengu kukariri sheria za bara barani na kunyoosha kwenda mbele wana sahau kuwafundisha kulijua gari ni nini.