Msaada kuhusu boneti bodi na matairi ya gari

SuperHb

JF-Expert Member
Mar 21, 2016
779
500
Habaru zenu...

Wataalamu naombeni msaada wenu

1.Hatua za kufungua na kufunga tairi

2.Unabonyeza wapi ili ufungue BONETI na BODI ya Gari yoyote kama

Najua humu kuna wataalamu naombeni msaada wenu wa ufafanuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
11,442
2,000
Gari gani Mkuu?
Nisan Diesel
Scania 730 HP
NOAH
au Bajaj TVS ambayo unaiangusha upande mmoja badala ya kuipiga jeki
 

Steven Nguma

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
1,076
2,000
Kila mara nasema mfumo wetu wa kumuandaa Dereva hauko sawa kabisa,kabla ya kujuwa bonet na jinsi ya kufungua tairi unapashwa kujua unafungua ili kufanya nini, ukisha fungua unatatua tatizo au unafanya uchunguzi wa kawaida au kunatatizo la ghafla limekutokea?.Katika mfumo wa udereva unapashwa kuanzia kujifunza, Pre check/ pre start/ hizi nibaadhi ya hatua za mwanzo kabisa za kulijua gari lako, lakini madarasa mengi ya udereva huwa yanafundisha madreva wengu kukariri sheria za bara barani na kunyoosha kwenda mbele wana sahau kuwafundisha kulijua gari ni nini.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom