Mimi ni mmoja kati ya loan beneficiaries wa mwaka 2015/16 ila swali langu ni kwamba lini hizo pesa zitakuwa deposited kwetu sisi wahusika coz wengine tunazitegemea hizo ili twende chuo na vyuo tayari vishafunguliwa wengine bado tuko nyumbani kwa tatizo la ukosefu wa pesa