nikibonyeza *102# ili kuuliza salio, badala yakuonyesha salio inaendelea kuita as if nimempigia mtu, tafadhari kama ulishakutana na hii kitu nifafanulie nielewe. natumia mtandao wa voda.
Kama alivyo sema mkuu Benny Haraba , hii simu ina mifumo miwili CDMA na GSM, kwenye GSM kuna baadhi ya vitu havifanyi kazi,
Kama Unatumia tigo au voda tumia App yao ya Simu Card kuweza kuweka salio na kuangalia salio. Au tumia njia ya maelekezo ya sauti.
Pia unaweza kutumia njia ya kawaida kwa kupiga namba 100 wakati inakupa maelekezo (bila kukata simu) piga *102#
Na press kitufe cha kupigia. Pia na kuweka salio unaweza kutumia utaratibu huo.