K Khalid91 Member Joined Feb 2, 2020 Posts 61 Reaction score 45 Nov 18, 2020 #1 Wakuu habari, Kuhusu hizi fingerprint za maofisini. Mwenye ujuzi atusaidie what happens kama mtu atakuwa anasign in tu kila siku ila hafanyi kusign out. Akija next day anasign in tu.
Wakuu habari, Kuhusu hizi fingerprint za maofisini. Mwenye ujuzi atusaidie what happens kama mtu atakuwa anasign in tu kila siku ila hafanyi kusign out. Akija next day anasign in tu.
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,807 Reaction score 61,666 Nov 19, 2020 #2 😁😁 ilikua njia yangu ya ku cheat siku nikiondoka mapema (nikitoroka job), hua si sign out
A Allency JF-Expert Member Joined Jan 27, 2011 Posts 16,287 Reaction score 16,285 Nov 19, 2020 #3 Unataka kujua njia ya kufanya udanganyifu?