Msaada kuhusu bao la kwanza kutoka mapema sana.

Msaada kuhusu bao la kwanza kutoka mapema sana.

kapu

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
218
Reaction score
44
wana jf napenda kuuliza hivi ,napokua nafanya mapenzi bao la kwanza linanitoka mapema sana yani ila game inayofuata ndo naanza kuchelewa ,je ni tatizo au kawaida tu?
 
Kawaida kiongozi bao utoka ndani ya dakika 4 hadi 8 ukiwa unatoa bao la kwanza chini ya dkk 1 na kushindwa kurudia tena basi muone dakitare.
 
wana jf napenda kuuliza hivi ,napokua nafanya mapenzi bao la kwanza linanitoka mapema sana yani ila game inayofuata ndo naanza kuchelewa ,je ni tatizo au kawaida tu?

una miaka mingapi???
 
hiyo age inaruhusu,gari mpya barabarani,na yenye muda mrefu zinatofautiana kiwango cha speed,utoaji wa moshi,utoaji wa mlio,n.k,as you grow older you wil grow also na length yako ktk hyo kitu.
 
Back
Top Bottom