Msaada kuhusu Audi A4

Msaada kuhusu Audi A4

Mpendasifa

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2013
Posts
277
Reaction score
111
Wakuu nataka kuagiza hiyo gari kutoka japan,naomba msaada wa kitaalam kuhusu hiyo gari ikiwemo na upatikanaji wake wa spea
 
Audi ni gari nzuri sana ila ina tatizo la spare na sio kila fundi anaielewa kuitengeneza.
 
Hii gari naipenda ikishika njia na kama ni smart driver basi hakuna gari inaweza kukukaribia.

Mimi mwenyewe nimependa hiyo spidi yake,,inakwenda mpka 260 km/h ingawaje kwa barabara za bongo hauwezi kutembea kwa hiyo spidi...ila imesimama
 
audi ni gari poa sana, hiyo hapo ni Audia Q7 ya jamaa yangu mmoja hivi ipo poa sana
 

Attachments

  • 1393073364670.jpg
    1393073364670.jpg
    51.6 KB · Views: 208
audi A4 ni gari zuri sn mm ninayo na limenishinda kwani niligonga jiwe gari ikaharibika mguu mbele ukawa na erro cjaweza kutengeneza kwani hakuna fundi wa hizo gari na nimeagiza spears over seas mpaka nimechoka
 
Mkuu usiogope ishu ya spare kama umeweza kuagiza gari sidhani kama utashindwa kuagiza spare...epukana na ugonjwa wa wabongo wengi wa kuogopa magari ya aina hiyo kwa kisingizio cha spare parts.
umenena mkuu, wabongo wengi nakosanaga nao kwa huo ujinga wa kusema spea adimu, mara gari inakula sana mafuta, hivi umeagiza gari kali ushindwe kuinunulia mafuta?? itakua uwenda wazimu
 
Gari nzuri sana mi mwenyewe ninayo A4,B7,nauza nataka ninunue kubwa yake
 

Attachments

  • 1476217612325.jpg
    1476217612325.jpg
    44.9 KB · Views: 126
Back
Top Bottom