Msaada kuhusu apps ya ,,,MOBILE CHEATER SPY.

Isaack Newton

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
619
Reaction score
366
Habari wakuu,!
Naomba ufafanuzi kuhusu application ya mobile cheater spy maana kuna jamaa mmoja kwenye mtandao wa Facebook anadai yeye ndo mwanzilishi wa hiyo application na kama mtu anataka kui download lazma atume elfu 25 ili kupata codes namba za hiyo apps, na anadai kuwa application yake imeruhusiwa na mamlaka ya mawasiliano yani TCRA sasa nina wasiwasi na huyu jamaa kwa kiasi flani hivi ndo maana nikaja kupata utaalam zaidi kuhusu hii apps jamvini hapa, naomba ufafanuzi mwenye utaalam na hii apps.
Nawasilisha.
 
zipo nyingin nzur t tafut ap store zitakidh mahitaj yako n ukisha sema fb ujue huko n utapl t
 
Mie mwenyewe sina imani nayo na siamini kama kuna ukweli ktk hiyo issue ya TCRA kwa kuwa ni nje ya haki za binadamu, ninavyo jua kwa upande wangu kuhark sisyo kihivyo hadharani sasa hii nchi yetu itakuwa yakihuni, Ziko Apps nyingi hata mm ninayo na iko free na ninapata kila kitu kupitia Internet sasa kitu chaajabu yeye anadai unalipia kwanza ndo upewe Code kwa nn asitoe Trial time angalau kwa 24 hrs mtu akahakiki utendaji wake then akaifunga na kukudai malipo!? Huo ndo utaratibu unaotumika hata kwa wenzetu huko nje na tunanunua sana Apps zao na zinafanya kazi vizuri. Nawasilisha.
 
Well done
 
Back
Top Bottom