same problem here
Hiyo benki kama huna ndugu makao makuu sahau kupata kazi hapo ruswa na undugu tu ndiyo umejaa hapo,,, tafuta benki nyingne na makapuni mengne acha kupoteza mda na postal bank
Wanajamii...! Naomba msaada kwa hili, benki ya posta wametangaza nafasi ya kazi ila kila nikituma kwa anuani yao waliotoa kua maombi yote ndio yapitie hapo mail yangu haipokelewi kabsa. Sasa sijui km tatzo ili ni kwangu tu au na kwa wengne na km tatzo hili ni kwa wote je yupo mtu anaeweza jua njia mbadala eiza iliyomsaidia kufikisha maombi yake au mtu mwingne anisaidie ni hilo tu wandugu. Naomba kuwakilisha.
Hiyo benki kama huna ndugu makao makuu sahau kupata kazi hapo ruswa na undugu tu ndiyo umejaa hapo,,, tafuta benki nyingne na makapuni mengne acha kupoteza mda na postal bank
Akhsante mkuu wangu, nimepata kujua hilo ivo nimejua sasa kipi nifanye na wapi nianzie.Kuna taarifa kutoka ndani ya tpb kuwa huwa wanaangalia sana watu kutoka finca na microfinance zingine na pia wanaangalia wale wanao wafahamu ndo.cv zao.zinaprintiwa