New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,310
- 2,425
msaada jamani..kuna jamaa angu alishika simu yangu akawa anataka ku unlock ili aitumie,na mie nli lock kwa kutumia pattern sasa inavoonesha alikosea mara nyingi kwa sasa inataka kulog in kwa gmail account nliokuwa nnatumia kwenye google play..tatizo n'imesaau account name ya gmail nakumbuka password..hata nikizima nikiwasha haidai pattern za ku draw inataka nilog in tu..ila simu napokea kama kawaida..