fofre JF-Expert Member Joined Nov 16, 2016 Posts 805 Reaction score 1,307 Aug 16, 2017 #1 Habari zenu wadau, nilikuwa naitaji kufanya dual boot kwa kuistall android OS alongside window, Hivyo mwenye iso file ya Adroid au download link naomba anitumie.
Habari zenu wadau, nilikuwa naitaji kufanya dual boot kwa kuistall android OS alongside window, Hivyo mwenye iso file ya Adroid au download link naomba anitumie.
khalfan56 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 639 Reaction score 136 Aug 16, 2017 #2 haiwezekani
fofre JF-Expert Member Joined Nov 16, 2016 Posts 805 Reaction score 1,307 Aug 16, 2017 Thread starter #3 khalfan56 said: haiwezekani Click to expand... Haiwezekani kwa dual boot au, cjakuelewa..
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,068 Reaction score 43,510 Aug 16, 2017 #4 kama una pc tumia phoenix os ni fork nzuri ya android yenye floating windows optimised kwa ajili ya mouse na keyboard Phoenix OS for x86 - Phoenix OS
kama una pc tumia phoenix os ni fork nzuri ya android yenye floating windows optimised kwa ajili ya mouse na keyboard Phoenix OS for x86 - Phoenix OS
fofre JF-Expert Member Joined Nov 16, 2016 Posts 805 Reaction score 1,307 Aug 16, 2017 Thread starter #5 Chief-Mkwawa said: kama una pc tumia phoenix os ni fork nzuri ya android yenye floating windows optimised kwa ajili ya mouse na keyboard Phoenix OS for x86 - Phoenix OS Click to expand... Nashukuru sana Ndugu ndo nipo na download iso file, kwenye ku install ni kama kawaida kama unavyo install linux au ni tofauti
Chief-Mkwawa said: kama una pc tumia phoenix os ni fork nzuri ya android yenye floating windows optimised kwa ajili ya mouse na keyboard Phoenix OS for x86 - Phoenix OS Click to expand... Nashukuru sana Ndugu ndo nipo na download iso file, kwenye ku install ni kama kawaida kama unavyo install linux au ni tofauti
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,068 Reaction score 43,510 Aug 17, 2017 #6 fofre said: Nashukuru sana Ndugu ndo nipo na download iso file, kwenye ku install ni kama kawaida kama unavyo install linux au ni tofauti Click to expand... yah nafkiri, mimi nilitumia exe file inafanya kila kitu automatic,
fofre said: Nashukuru sana Ndugu ndo nipo na download iso file, kwenye ku install ni kama kawaida kama unavyo install linux au ni tofauti Click to expand... yah nafkiri, mimi nilitumia exe file inafanya kila kitu automatic,