knowledge finder
Member
- Sep 18, 2016
- 94
- 46
Wanajukwaa habari ya Uzima, Nina tatizo kidogo kwenye account yangu ya Twitter yaani sioni comments za watu katika tweets zote za watu niliowafollow Twitter helpers nimepekua sana tu lakini sijapata jibu la maana.
JF naamini nitapata jibu Karibuni kwa msaada wa maelezo.
JF naamini nitapata jibu Karibuni kwa msaada wa maelezo.