Msaada kuhusu account yangu ya Twitter

Rhobi1961

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2015
Posts
888
Reaction score
682
Nahitaji msaada wenu wakuu, kila nikijaribu kuingia kwenye account ya twitter naletewa haya maneno, CANNOT CREAT ACCOUNT hii shida ni tokea jana, mwenye kujua anisaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…