Uwe unapitia post za juu.... Tareh ishapita tokea tar 7 ila hawajatoa kitu na hawana taarifa yoyote na iyo tarehe waliipanga wenyewe na wameshndwa kuifata... Watu wanahaha kila kona hawajui la kufanya..
Nimetafuta nmber active ya tcu nichukue majibu nisaidie kutaaarifu watu... Sijapata number
Sent using
Jamii Forums mobile app