Msaada kuhusiana na laptops aina ya hp

Msaada kuhusiana na laptops aina ya hp

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,199
Reaction score
14,383
Kwanza ningependa kutoa shukrani zangu kwa wana JF kupitia wao nimejifunza mengi na Leo nipo jukwaa hili lengo ni kuendelea kujifunza sababu knowledge is power. Nipo katika harakati za kutafuta laptop na nimepahatika kukutana na muuzaji anauza HP Compaq 6530b ningependa kujua sifa zake hata pia mapungufu yake sababu Mimi ni mgeni katika taalamu hii so nawasilisha kwenu ma expert. Ahsante
 
Yaani hili jukwaa siku hizi hakuna watu watu kabisa.

wamekimbilia kule jukwaa la mapenzi wewe nenda chitchat utoe mada uwone watu wanavyomiminika
R.I.P JF
 
Weka specifications zake hapa ndio tutakupa ushauri

RAM =?
VRAM =?
PROCESSOR =?
HDD =?
GRAPHICS ADAPTER NI AINA GANI
 
Jaribu kulinganisha matumizi yako na specification za hio laptop kama yanaendana mkuu changamkia dili
 
Hebu tupatie specification zake mkuu tuanze apo kukupa ushauri .alafu utuambie unanunua kwa matumizi gani ?
 
Hebu tupatie specification zake mkuu tuanze apo kukupa ushauri .alafu utuambie unanunua kwa matumizi gani ?
Ahsante ni kwa matum
Hebu tupatie specification zake mkuu tuanze apo kukupa ushauri .alafu utuambie unanunua kwa matumizi gani ?
Ahsante mkuu ni kwa matumizi binafsi kama kuandaa documents, movies na games.. kulingana na maelezo ya muuzaji RAM 2GB, 32 OP system, hard disk 150.
 
Ahsante ni kwa matum

Ahsante mkuu ni kwa matumizi binafsi kama kuandaa documents, movies na games.. kulingana na maelezo ya muuzaji RAM 2GB, 32 OP system, hard disk 150.
hizo HP compaq hazitengenezwi tena siku hizi ni za kizamani. anakuuzia kiasi gani? wewe nawe budget yako ni kiasi gani?
 
Ahsante ni kwa matum

Ahsante mkuu ni kwa matumizi binafsi kama kuandaa documents, movies na games.. kulingana na maelezo ya muuzaji RAM 2GB, 32 OP system, hard disk 150.
Kwa specifications hizo hazifai kwa teknolojia ya sasa.
 
Back
Top Bottom