DAKA MTUMBA
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,288
- 805
Asante mkuu nashukuru sana!Duhhh.
Kumbe kuna watu hapa ndani wana 'mihela' eeh?!!
Anyway hope utapata ushauri mzuri,niliwahi pita Dubai mwaka juzi,kún sehemu inaitwa Deira kama sikosei,kuna blacks wengi niliwaona hapo wakifanya biashara,but wengi wa wafanyabiashara wa hapo ni Wahindi na wapakistani.
Ila ni wazo zuri kuhamia abroad ili kupata changamoto mpya.
Mungu akutangulie mkuu.
Funguka zaidi mkuuKwanini usiende china ukafanye biashara ya kupika vyakula vya kitanzania? Inalipa sana
Sina experience but mdogo wangu anasoma huko aliniambia kuwa vyakula vya kitanzania hapo guanzhou kama mtu anajua kupika anapata faida sana coz kuna watanzania wengi wafanyabiashara plus na hao wanafunzi akasema ni biashara inayolipa kama ukikamilisha kila kitu na ukaweza kupata eneo la biasharaFunguka zaidi mkuu
Shukran sana.Sina experience but mdogo wangu anasoma huko aliniambia kuwa vyakula vya kitanzania hapo guanzhou kama mtu anajua kupika anapata faida sana coz kuna watanzania wengi wafanyabiashara plus na hao wanafunzi akasema ni biashara inayolipa kama ukikamilisha kila kitu na ukaweza kupata eneo la biashara
Ngoja tusubirie wengine wanaweza wakaja na mawazo mengi zaidi maana mimi sijui kihivo
Ni vizuri kwanza ukaulizia kila kitu ili upate uhakika kabla ya kuondoka na kwenda huko ukapoteza hela na pia kumbuka kule utahitaji kupata wafanyakazi wa kukusaidia kazi zako pamoja na sehemu ya kuishi though yeye aliniambia kuna vyumba vya bei ya chini ingawa sio vizuri ila kwenye kutafuta maisha you can stayShukran sana.
Nadhani natakiwa kufanya tours China na Dubai ili kungalia upepo,but I'm sure biashara ya chakula china itakua nzuri zaidi.
Thx a lot!Ni vizuri kwanza ukaulizia kila kitu ili upate uhakika kabla ya kuondoka na kwenda huko ukapoteza hela na pia kumbuka kule utahitaji kupata wafanyakazi wa kukusaidia kazi zako pamoja na sehemu ya kuishi though yeye aliniambia kuna vyumba vya bei ya chini ingawa sio vizuri ila kwenye kutafuta maisha you can stay
mm namuamini huyu mtoa mada. na ww upo wrong sideHizo hela umezipata kutokana na biashara, au ulizirithi? 65 stacks is quite a feat no slow mind could hit. Kutengeneza hata nusu ya hiyo, nafikiria sharpness, connections, wafanya biashara wenzio na mazingira uliyopo kwa ujumla yanatosha kabisa kwa unayouliza na zaidi. Plus you gotta be smarter than go around telling how much you hold, much worse to strangers.
Anyway, kama sio chai kila la kheri mkuu.
mm namuamini huyu mtoa mada. na ww upo wrong side
Mkuu unahisi natania?Hizo hela umezipata kutokana na biashara, au ulizirithi? 65 stacks is quite a feat no slow mind could hit. Kutengeneza hata nusu ya hiyo, nafikiria sharpness, connections, wafanya biashara wenzio na mazingira uliyopo kwa ujumla yanatosha kabisa kwa unayouliza na zaidi. Plus you gotta be smarter than go around telling how much you hold, much worse to strangers.
Anyway, kama sio chai kila la kheri mkuu.
Wahenga walisema:unachokiamini ndicho kinachokutokea,yani wewe kama huamini ipo siku utatajirika kama Mengi then utakufa masikini hivyo hivyo.Anawa enjoy huyo
Mkuu unahisi natania?
Kwani $65,000 ni tshs ngapi?
Well,back to topic.
Lengo langu ni kwenda Dubai so kama una njia ya kunisaidia then lets do!
Kama huna ni heri kukaa kimya kuliko kukatisha watu tamaa ya kutafuta pesa.
$65,000 nimeanza kuisaka 1999,but im sure wapo wanaoweza kuipata just a week achilia mbali mm nimetumia miaka 18 na maisha yangu bado ni haya hapa kwenye pichaView attachment 592134