the locksman
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 1,104
- 357
Unafungua vip OTEAS wakuu kwa ajili ya kuomba kazi ya ualimu. Kwangu imetulia tu haifunguki, saa 5.30 usiku sasa.
Unafungua vip OTEAS wakuu kwa ajili ya kuomba kazi ya ualimu. Kwangu imetulia tu haifunguki, saa 5.30 usiku sasa.
Iko vizuri mno kwa sasa. Kupakia vyeti ni sekunde 2 kwa kila document. Kama bado hujafanikiwa niPM harakaUnafungua vip OTEAS wakuu kwa ajili ya kuomba kazi ya ualimu. Kwangu imetulia tu haifunguki, saa 5.30 usiku sasa.