Msaada kufungua mfuniko wa simu

Wa kusoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2011
Posts
3,454
Reaction score
2,984
Ndugu zangu kama mada inavyojieleza hapo juu, jana nimenunua simu ya TECNO L8 Lite.

Lkn kwa uharaka niliokuwa nao nikasahu kuuliza namna ya kufungua mfuniko wa nyuma kwa ajiri ya kuweka line.

Najua hapa wataalamu mpo simu imenishinda kufungua kabisa, naombeni ujuzi huo
 
Pole sana kwa usumbufu ila kama una kale kakitabu( users manual )kana elekeza kila kitu unless uwe nacho umekiacha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cheki upande wa kulia pembeni kwa chini utaona utaona kuna nafasi ya kufungulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…