Msaada: Kuflash smartphone ambayo imejilock pin

Msaada: Kuflash smartphone ambayo imejilock pin

Inabidi uwe na basic software/OS ya hiyo simu, uwe na laptop/computer na uwe na utaalamu wa kufanya hiyo shughuli. Je una kigezo chochote hapo? Kama huna peleka kwq mafundi simu wa software ni kama 30,000-70,000/= inategemea na aina ya simu... Ila kama ni tecno zenu za 40,000/= bora ukanunue mpya.
Asante na karibu.
 
Kama unakumbuka gmail account na password uliyo regester kwenye simu yako means play store...unaweza hardreset simu yako kwa ku hold power button na volume down(-) au volume up+ inategemeana na simu yako...Warning utapoteza kila kitu kwa simj yako...otherwise tumia software za kubypass kusave data
 
Ungetuma picha tuone ilivyojiLock boss ingekuwa vzur zaid ili upate ushaur kam ni lazima iflashiwe au hard reset
 
Inabidi uwe na basic software/OS ya hiyo simu, uwe na laptop/computer na uwe na utaalamu wa kufanya hiyo shughuli. Je una kigezo chochote hapo? Kama huna peleka kwq mafundi simu wa software ni kama 30,000-70,000/= inategemea na aina ya simu... Ila kama ni tecno zenu za 40,000/= bora ukanunue mpya.
Asante na karibu.
Mmh hizi gharama ni za kutoa pin? Mkoa gan huko
 
Back
Top Bottom