Matendo Andrew
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 748
- 366
NAOMBA MSAADA KUIFIKISHA HII PANAPO TAKIWA ILI MAREKEBISHO YAFANYIKE...
Toka mh.rais aingie madarakani nimekua nikivutiwa karibu kila Anachokifanya na kwakua mimi sio mwana siasa na wala sio mwana sheria sijaona hata kitukimoja ambacho ametufanyia vibaya wananchi wake..zaidi ya hili la mfumo wa ufanyaji usafi. Ipo wazi kwamba kila jumamosi ya mwisho wa mwezi karibu watanzania wote wanajua kwamba ni siku ya usafi ni vizuri saana. japo huku mitaani kwetu viongozi wa mikoa wilaya kata hadi mitaa wamekua wakijiongeza kwa kusema kila jumamosi ni usafi....sio mbaya....
Utafiti wangu umebaini kua kumbe watanzania tunaweza kufanya mambo makubwa tu ila mpaka tushikiwe akili zetu.
#BAKORA

KIMSINGI HAWA WATOA HUDUMA ZA CHAKULA HUANZA KAZI ZAO SAA KUMINAMOJA ALFAJIRI NA BREKFAST HUMALIZA SAA NNE HADI TANO AMBAPO HUANZA KUANDAA CHAKULA CHA MCHANA..NA SIKU ZA JUMAMOSI NA JUMAPILI HUA NDIO SIKU AMBAZO MAUZO YAO HUA MAZURI KWASABABU YA WATU WENGI KUA MAJUMBANI..LAKINI KWA UTARATIBU HUU WA OFISI ZOTE ZIFUNGWE MPKA SAA NNE NI BAKORA KWA MAMALISHE HAWA LAKIN PIA WAFANYA BIASHARA WENGINE AMBAPO KILA MFANYA BIASHARA ANAWEZA KUUNGANA NA MIMI KWAMBA KUNA KUPOTEZA KIASI CHA FEDHA KWA MASAA MANNE HAYO AMBAYO BIASHARA ITATAKIWA KUSIMAMA...
NIMEFANYA UTAFITI NIMEGUNDUA PAMOJA NA WATU KUAMBIWA WAFUNGUE SAA NNE BADO HAISAIDII USAFI KUFANYIKA MITAANI ILA WATU WANATII KUFUNGUA SAA NNE ILA SIO KUFANYA USAFI. MBAYA ZAIDI NI KWAMBA KUNA UTARATIBU AMBAO UPO HUKU UKIFUNGUA OFISI HATA KAMA UMEFANYA USAFI FAINI NI TSH 50000/= LAKIN USIPO FANYA USAFI UKAFUnguA SAA NNE UNAKUA MTU SALAMA... NAPATA SHIDA SANA KUFIKILIA JUU YA HILI... POINT YA MSINGI USAFI AU KUFUNGWA BIASHARA..IKIWA NI USAFI BASI SIONI UMHIM WA KUFUNGA OFISI AMBAPO KIMSINGI HAITAWEZEKANA KWASABABU KUNA BAADHI YA OFISI ZINAATHIRIKA ZAIDI KULIKO NYINGINE.. KWAHIYO NASHAURI WATU WAFANYE USAFI JUMAMOSI ZOTE ILA SIO WAFUNGE OFISI ZAO. NA IPANGWE FAINI HATA LAKI MOJA KWA ASIE FANYA USAFI KAZINI KWAKE AU NYUMBANI KWAKE...LAKIN KUPIGWA FAIN MTU KWA KUFUNGUA BIASHARA NI KUZOROTESHA MAENDELEO.. HILI NI SWALA KUBWA WAKUU NAOMBA MSAADA WENU NAWEZAJE KUFIKISHA HOJA HII SEHEMU PANAPO WEZA KUSHUGHULIKIA SWALA HILI.. NAUMIA SAANA HUKU MTAANI WATU WANALIPISHWA FAIN KWA KUFUNGUA BIASHARA SIO KUTOFANYA USAFI HOW COME?????
PLEAS. Share kwa groups nyingine...