Helow wakuu
Msaada,,nataka kujua namna ya kufanya vitafunwa vikae bila kuharibika kwa muda mrefu,vitafunwa kama maandazi ,,mfano kama yanayouzwa supermarket,,yanawekwa nini ili yasiharibike
Aksnte in advance
Mafuta ya moto yana kazi ya kufanya andazi lisiwe na hewa ndani baada ya hapo unaweka mafuta vijiko vitatu vya barid kwa kilo moja kijiko ni cha chakula hayo ya baridi ndio yanafanya andazi lisiwe kavu sana
Helow wakuu
Msaada,,nataka kujua namna ya kufanya vitafunwa vikae bila kuharibika kwa muda mrefu,vitafunwa kama maandazi ,,mfano kama yanayouzwa supermarket,,yanawekwa nini ili yasiharibike
Aksnte in advance
Mkuu hayo maandazi ya supermarket yanakaa hata mwezi na hayaharibiki. Yanatengenezwa viwandani (sio lazima iwe kiwanda kikubwa) kwa kutwanga unga wa ngano sana na kwa muda mrefu.
Ngano inapigwa mpaka inalainika sana. Kuna ndugu yangu amesomea hii kazi na anaifanya vizuri, unakula andazi lainiii
Mkuu hayo maandazi ya supermarket yanakaa hata mwezi na hayaharibiki. Yanatengenezwa viwandani (sio lazima iwe kiwanda kikubwa) kwa kutwanga unga wa ngano sana na kwa muda mrefu.
Ngano inapigwa mpaka inalainika sana.
Kuna ndugu yangu amesomea hii kazi na anaifanya vizuri, unakula andazi lainiii