mimi_wewe Member Joined Jul 27, 2014 Posts 70 Reaction score 17 Jun 21, 2016 #1 Habari wanajamvi!,kwa mwenye uelewa wa kutumia vizuri na kufanya installation za volcano box naomba msaada tafadhali!
Habari wanajamvi!,kwa mwenye uelewa wa kutumia vizuri na kufanya installation za volcano box naomba msaada tafadhali!
PNC JF-Expert Member Joined Feb 3, 2015 Posts 8,105 Reaction score 14,356 Jun 21, 2016 #2 Ingia Gsm Forum nafikir utapata maelezo mazuri ambayo yatakusaidia hatua kwa hatua
mimi_wewe Member Joined Jul 27, 2014 Posts 70 Reaction score 17 Jun 21, 2016 Thread starter #3 PNC 1 said: Ingia Gsm Forum nafikir utapata maelezo mazuri ambayo yatakusaidia hatua kwa hatua Click to expand... Gsm forum nilishaingia lakn sijapata mafanikio nadhan nahitaji msaada wa ana kwa ana!
PNC 1 said: Ingia Gsm Forum nafikir utapata maelezo mazuri ambayo yatakusaidia hatua kwa hatua Click to expand... Gsm forum nilishaingia lakn sijapata mafanikio nadhan nahitaji msaada wa ana kwa ana!
PNC JF-Expert Member Joined Feb 3, 2015 Posts 8,105 Reaction score 14,356 Jun 21, 2016 #4 mimi_wewe said: Gsm forum nilishaingia lakn sijapata mafanikio nadhan nahitaji msaada wa ana kwa ana! Click to expand... Uko mkoa gani
mimi_wewe said: Gsm forum nilishaingia lakn sijapata mafanikio nadhan nahitaji msaada wa ana kwa ana! Click to expand... Uko mkoa gani
mimi_wewe Member Joined Jul 27, 2014 Posts 70 Reaction score 17 Jun 21, 2016 Thread starter #5 PNC 1 said: Uko mkoa gani Click to expand... Nipo mwz!
PNC JF-Expert Member Joined Feb 3, 2015 Posts 8,105 Reaction score 14,356 Jun 21, 2016 #6 mimi_wewe said: Nipo mwz! Click to expand... Nafikir wenye ujuz walio Mwanza watakusaidia
mimi_wewe Member Joined Jul 27, 2014 Posts 70 Reaction score 17 Jun 21, 2016 Thread starter #7 PNC 1 said: Nafikir wenye ujuz walio Mwanza watakusaidia Click to expand... Wengi huku wanatumia miracle volcano wanasema linazingua kama unaweza kunisaidia nisaidie kwani upo wapi!?
PNC 1 said: Nafikir wenye ujuz walio Mwanza watakusaidia Click to expand... Wengi huku wanatumia miracle volcano wanasema linazingua kama unaweza kunisaidia nisaidie kwani upo wapi!?
PNC JF-Expert Member Joined Feb 3, 2015 Posts 8,105 Reaction score 14,356 Jun 21, 2016 #8 mimi_wewe said: Wengi huku wanatumia miracle volcano wanasema linazingua kama unaweza kunisaidia nisaidie kwani upo wapi!? Click to expand... Nakupm
mimi_wewe said: Wengi huku wanatumia miracle volcano wanasema linazingua kama unaweza kunisaidia nisaidie kwani upo wapi!? Click to expand... Nakupm
M Maholalelo Member Joined Jun 15, 2016 Posts 13 Reaction score 7 Jun 22, 2016 #9 Wengi wanatumia volcano labda umekutana na issue ya ubinafsi tu,
mimi_wewe Member Joined Jul 27, 2014 Posts 70 Reaction score 17 Jun 24, 2016 Thread starter #10 Maholalelo said: Wengi wanatumia volcano labda umekutana na issue ya ubinafsi tu, Click to expand... Okey niambie upo mtaa gani nikutembelee mtaalam!!
Maholalelo said: Wengi wanatumia volcano labda umekutana na issue ya ubinafsi tu, Click to expand... Okey niambie upo mtaa gani nikutembelee mtaalam!!
M Maholalelo Member Joined Jun 15, 2016 Posts 13 Reaction score 7 Jun 24, 2016 #11 Nipo safari,niambie ofisi yako ilipo nikutembelee nikifika mjini