Msaada kufaham cuting point gpa kusoma masters open univrsty

abdukarim

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2017
Posts
476
Reaction score
593
Habari wakuu,naamini mpo vzri na hzi harakati za duniani.Lengo kuomba kufaham ukitaka kusoma msters open universty gpa ya mwisho ni ngap hasa kama unataka kusoma public administration with education.
 
Ukipata jibu tulete huku mkuu nasi tujue
 
Habari, naomba kuliza ni chuo gani hapa Tanzania kinatoa master ya Transport and Logistic management?
 
Back
Top Bottom