Nahitaji msaada na mbinu za kuacha tabia hii Tafadhalini sana wadau.
Habarini nyote wana MMU,
Mimi in kijana ambaye nimekuwa nikisumbuliwa sana na tatizo hili la kuwa "addicted" na punyeto ni takribani miaka sit a(6) sasa.
Nahitaji msaada na mbinu za kuacha tabia hii Tafadhalini sana wadau.
endelea kupiga punyeto ipo siku we mwenyewe utaacha tu bila hata kushauriwaMkuu na picha tena??
Pita hapa itakusaidia
Sio rahisi kwa mtu aliyekuwa addicted na punyeto kustahimili kujizuia kupiga punyeto kwa muda wa siku nyingi mfululizo
Anaweza kujizuia kupiga punyeto kwa siku mbili lakini baada ya hapo ataendelea tena na mchezo wake.
Na Leo Hii nimekuja na njia ambazo akizifuata kiumakini, ataondokana na tatizo hilo.
Zifuatazo ni njia salama za kuepuka punyetooo.
1:Jiweke busy na masomo yako kwani ndiyo
wakati wake huu na sio kufuata au kufikiria
juu ya matamanio. Kumbka kuwa matamanio hayawezi kuja tu ikiwa utayapuuza na kujali mambo mengine ya
muhimu kulingana na wakati wako.
2: Fanya sana mazoezi ya kuuchosha mwili
kama vile kukimbia, kuruka kamba, kucheza mpira, basketball, karate na mengineyo ambayo yatakuchosha na kukutoa jasho kila siku kwa mpangilo maalumu.
3: Epuka kukaa peke yako bila kazi yoyote kwani kutakufanya ufikirie matamanio kwani ndio jambo linalotawala fikra za vijana.
4:Acha kula hovyohovyo bila sababu maalum na hasa epuka sana kula vyakula vya mafuta mafuta kwani hivi hutengeneza
mbegu za kiume kwa kasi kubwa sana.
5:Tumia muda wako wa free kupumzisha akili yako kwa kulala.
6;Jitahidi kutokukaa bafuni kwa muda mrefu bila umuhimu wowote na epuk akujisugua
au kujishika sana sehemu za siri wakati wa kuoga.
Ushaurii
Jitahidi ubadilike na fahamu kwamba kufanya
hivyo kukiendelea sana kwako itakuwa tena sio
mazoea bali ni tabia na siku zote mazoea hujenga
tabia, utajikuta huachi hata kama utampata wa
kukutimizia haja zako (Mke) kwani hutoridhika
naye kwa athari ya mkono wako.
Fahamu pia kuwa kutafuta msichana (Girlfriend)
sio njia sahihi kwani ndiyo sababu ya kuharibu
jamii kwa kuwaharibia maisha yao kwa kuwapa
ujauzito wakiwa mashuleni, kusambaza maradhi
na kuleta watoto wa mitaani (Street Children).
Njia sahihi ni kama tulizozitaja hapo juu. Soma kawa bidii, Jali muda wako na kuwa makini sana. Utapata kazi nzuri, utampata akupendaye mkaridhiana, mkaoana na kujenga familia iliyo
bora kabisa ambayo hata mungu ataipenda na kuibariki ,endelea hapa... www.bongonewstz.com