mi nnatumia Nokia 3110c na memory card 1gb tatizo ni kwamba nnashndwa kudownload video zenye mb kubwa mfano 20mb na kuendelea, ikijitahidi sana inadownlod video ya 9 - 12mb lakini nikijaribu 20mb inasema download faild je, nikwamba simu haiwezi kudownload video kubwa au? Msaada pliz
sio simu ni network + browser ndo zinasababisha hilo tatizo
network ina ji disconect baada ya muda fulani and then browser haisuport resume so unakuta download ina fail
ushauri: download ucweb browser maana download manager yake ina support resume. Kuipata click hapa
ucweb ya simu yako
we ukiona imefeli download click resume utaona inaendelea pale ilipoishia
sio simu ni network + browser ndo zinasababisha hilo tatizo
network ina ji disconect baada ya muda fulani and then browser haisuport resume so unakuta download ina fail
ushauri: download ucweb browser maana download manager yake ina support resume. Kuipata click hapa
ucweb ya simu yako
we ukiona imefeli download click resume utaona inaendelea pale ilipoishia
naomba msaada mkuu simu yangu ni dowload inahandika not valid cetifikate na plogram zilizokuwapo mwanzo kuwapo zinahandika not sapoti
naomba msaada mkuu simu yangu ni dowload inahandika not valid cetifikate na plogram zilizokuwapo mwanzo kuwapo zinahandika not sapoti
ila bora uachane nayo maana iko slow kichizi yaani haivutii kivile so fanya kutafuta opera min iko poa kuliko uc brower that's according to me.
unatumia simu gan? Ntakupa majibu kwa nokia
Kama siyo ya multtask (s40) yaani isiyominimise tumia njia hii
katika simu hizi zinaingia mafile ya format ya java.
Hizi java zimegawanyika mara 2 kuna jar na jad.
File la jad mara nyingi linataka certificate la jar halitaki
Solution download jar mfano search google opera mini.jar (kila soft utayosearch mbele ongezea .jar)
Kwa s60 simu za multask (zinazominimise)
Hapa kuna option 2
1. Kupata developer certificate na kua na signer yako mwenyewe.
So utakua ukidownload software yoyote una isign
2. Option ya 2 ni kuhack simu na sku hizi ipo njia rahisi ya kutumia helo0x ukihack simu sahau problem ya certificate error (recomended for advanced users)
yah haivutii lakini ukumbuke opera hairesume na ukiexit download inafutika
Utajiskiaje unadownload kitu cha mb 20 then inafika mb 19 inasema download failed?
Ila uc ikisema download faile unaresume inaendelea ilipoishia.
Kila browser na faida yake mi narecomend opera for browse and ucweb for downloading
Mkuu unaweza kuelezea kidogo hapo jinsi ya ku sign wenyewe certificate?Chief Mkwawa said:Kupata developer
certificate na kua na signer
yako mwenyewe.
Mkuu unaweza kuelezea kidogo hapo jinsi ya ku sign wenyewe certificate?
nokia 3110c mkuu mwanzoni nilikua natumia vizuri tu tatizo limeanza hivi karibuni hasa program ya opera na facebook zote zimenigomea nikaenda kufrash lakini tatizo bado lipo msaada mkuu
nashukuru mkuu nimepata opera na ile ya facebook sasa imekuja shida mpya nikitaka kutumia hizo program inakuja ujumbe kua netwek imeferi .
unatakiwa uwe na access point.
Mfano tigowap sio access point haiwez kurun application ila tigo web inaweza
so nambie unayo access point? Kama huna unatumia mtandao gan?
natumia airtel intenet ata jamiiforums natumia simu hiyohiyo aigomi ila yale mafaili ya kudownload tu ndo yagoma hasa fb na operamini hayo ni muhimu kwangu nasubiri msaada chief