msaada kudownload pdf

Toa maelezo zaidi,inakataa una maanisha nini?Kama kuna message inaandika tuambie hiyo message inasemaje au kama haisemi chochote pia tuambie ili tujue pa kuanzia.
 
Kudown itadownload tatizo litakuwa ni kusoma unakutana na msg "file not supported"
 
wakuu nina nokia 2700 classic nataka kudownload pdf inakataa nifanyeje?

Kuidownload haitakataa ila nokia 2700c ni java phone so haisupport files za pdf.
fanya hivi ili uweze kusoma pdf files zako ktk java phone yako;
1.download pdf file lenyewe.
2.search na download application inayoitwa PDF VIEWER katika site HII
3.fungua application hyo na utaidirect kwenye folder ambayo pdf file hyo uliidownload na fungua and ur done!
 
Back
Top Bottom