Hii nayo mpya, kwa nini sasa usihamishe hiyo nyimbo kwenye pc alafu uicheze huko na kuokoa battery?
Hii service ya ku play music via Bluetooth ilitengenezwa kwako wewe kuweza play mziki kutoka kwenye simu/pc/tablet yako kwenda kwenye spika special za Bluetooth na headphones special za Bluetooth au kama zinavyoitwa kitaalamu wireless speakers/headphones/earphones sio kwa simu kupiga mziki kwenye pc.