K komredi ngosha JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 382 Reaction score 71 Jan 4, 2012 #1 Zantel wametoa simu wanaziuza ila ni za laini moja tu, ya kwao. Mwenye ujuzi na software ya kuzichakachua zitumie laini zote au anayejua hua nini kinafanyika tupeane maujuzi. Aina ya simu ni ZTE
Zantel wametoa simu wanaziuza ila ni za laini moja tu, ya kwao. Mwenye ujuzi na software ya kuzichakachua zitumie laini zote au anayejua hua nini kinafanyika tupeane maujuzi. Aina ya simu ni ZTE