nataka kubadilisha processor ya pc yang(dell inspiron 15) kutoka pentium (R) 1.9ghz kwende core i3 2.4ghz nataka kujua vitu gani muhimu vya kuangalia ili niupgrade
mkuu internet most of time ni modem ndio inayofanya uwe faster kwenye internet na bahati mbaya kwenye computer zetu modem hazipo ndani, unanunua na kupachika tu au kutumia wifi, hivyo kama unataka computer yenye speed kwenye internet nunua modem ya maana kama vile mobile router ya 150MBps kupanda yenye 4G.
pia uhakikishe na mtandao unaotumia una speed ya kutosha kwa eneo lako.