Habar wana teknolojia....naomba msaada hivi naweza kubadilisha baadhi ya taarifa zangu nilizozitumia kujisajilia paypal hasahasa nataka kubadilisha sanduku la posta kwani nimefungua la kwangu....Natanguliza shukran wakuu.