Mkuu habari,
Mimi nimeenda NIDA leo kwa kesi hii ila wamenambia niandike barua ya kumba kibali niambatishe nakala za ushahidi na wakasema maombi hayo yanachukua muda mrefu hata miezi 5
Je kuna haha ya kutoandika barua badala ake nikatafuta deed pool kulingana na maelezo ako apo?