Adolph
JF-Expert Member
- Sep 26, 2010
- 895
- 346
Wakuu nimekwama kidogo..mi si mtaalamu sana wa kutengeneza logo.nimejaribu kwa uwezo wangu kwa kutumia software ya aurora 3d ila tatizo linakuja jinsi ya kulisave niweze kulitumia kutengeneza vitambulisho...file linajisave kwa format ya m3d. naomba msaada wa nifanyaje au nitumie software gani ili file liwe kwenye format ya jpg..
nawasilisha
nawasilisha