Umefanikiwa mwl?Powa mkuu
Check kwenye birth certificate yamkin kunachangamotoNdugu zanguni nimekamilisha kila kitu ila bado naambiwa incomplete application. Please complete your application. Jamani nakosea wapi?
kwani bado kazi za ualimu zipo!Check kwenye birth certificate yamkin kunachangamoto
Unamaanisha nini?kwani bado kazi za ualimu zipo!
Amina. 🙏🏿Nilifanikiwa boss Mungu mkubwa.
Chagua Diploma in secondary kwasabaabu mtu kama we utafundisha mathematics na Physics in Secondary schools
Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app