Msaada: Kuangalia ITV kwenye Smartphone

Msaada: Kuangalia ITV kwenye Smartphone

Inkotanyi 94

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,244
Reaction score
4,030
humu ndo kila kitu. naomba ajuaye namna niwe naangalia Channels za tv za Tanzania hasa ITV mana mda wa habar nakuwa mbali na Tv. nielekezwe kama slow learner tafadhar. shukran.
 
Ktk playstore itapata app inaitwa AITV Mobile utapata local tv's ila inabidi kulipia lkn waweza tumia trial ya 30 days after that inakudai malipo
 
nashkur sana nimeinstall lakin hawana trial version. ningefurahi kujua uwezo wake kabla cjaziingiza hizo $6 kwa mwezi.
 
hata ukitaka kulipia inagoma kukupa paying methods. nayo hii hamna kitu naona
 
Unaweza kulipia kutumia mpesa namba ya kampuni ni 337777 jina tumia ulotumia ku create account kiasi ni 12000/= kwa mwezi naona iko tu vizuri
 
ikifika hapo haiendelei na chochote. naona hata comments kwenye app zinalalamikia hii kitu
 
Attachments

  • Screenshot_2015-08-19-22-48-52.png
    Screenshot_2015-08-19-22-48-52.png
    19.2 KB · Views: 567
  • Screenshot_2015-08-19-22-49-05.png
    Screenshot_2015-08-19-22-49-05.png
    32.8 KB · Views: 524
ikifika hapo haiendelei na chochote. naona hata comments kwenye app zinalalamikia hii kitu

Hiyo achana nayo tumia njia niloelekeza hapo juu yaani mpesa ukishalipia channels zinafunguka auto jana might mwenyewe nimelipia
 
Hebu fafanua kidogo ukishalipa kwa mpesa watajuaje kuwa ni wewe umalipa ili wafungue simu yako
 
bora hiyo no ingekuwa kwenye m pesa payment subscription. sijajua ndg anaitoa wapi ambapo na mi nii refer.
 
Hiyo no tumepata kwa hao jamaa na kiufupi ukishalipia utaletewa mes kuwa umelipa kwa AIT ktk account fulani ambayo ndo jina lako ulotumia ku create account ndani ya dk 15 channels zitakuwa zimefunguliwa automatically
 
Ngoja nijaribu
elfu 12 sio issue nitalipia nitoe mrishonyuma. ikila kwangu nitahairisha mvinyo wa week end moja nibalance hesab. mana nashindwa kuelewa inakuweje wamiliki wa app hawajui nini wanafanya kuboresha kazi yao? na comments karibia zote zinadai AITV magumashi.
 
feedback na mm nilipie!
 
Jaribu App ya simu tv ina chanel nne za live TBC1,ZBC,CHANEL TEN NA SIBUKA TV.
 
hatimaye nimelipia hii app ya AITV kupitia m pesa na naangalia channels kibao za africa nilizohitaji. kwa sasa unalipia m pesa kuna menu yao moja kwa moja. muhim install AITV app kwanza na ujisajiri. no ya maelekezo kwa mteja ni 0758194929. kweli sio wapigaj. thanx
 
Back
Top Bottom