Nikisema nianike kila kitu hapa jamvi ni dogo, nawashukuru sana wote mlionipa ushauri na wengine kunitukana na kuniita MALAYA, hadi nimejianika hapa juwen kuna tatizo. Hamumjui mume wangu yukoje na y niliingia huko kwenye uhusiano nikiwa ndani ya ndoa. Hakuna ajuaye alinifanya nini hadi nikatoka nje. Alichokifanya hakielezeki. Na huko kutiwa mara 3 sio kila siku. Kuna walioshangaa nimwambie dr nishindwe kumwambia ndugu , hospital ningepataje msaada bila kusema ukweli??? Mmenishambulia sana ila nimepata pa kuanzia. Hata mliofuta pole kwangu nawashukuru pia . Mimi si malaika nna mapungufu pia. Niliowakwaza kwa kuomba ushauri jf mnisamehe.

Kweli huyu ni kibiritingoma... naomba niishie hapo
hana lolote huyu......anataka public sympathy......anadhani jf huwa tunasahau....watu hatusahau.....mpuuzi mkubwa
we Fidel ebu ichukulie hii inshu kiubinadam zaidi..mwenzio anaumia hadi kufikia kwenda hosp we unaongelea raha
Ushauri wangu dada, kuwa wewe, unapokuwa hapa jamvini usiweke jambo kwa kufurahisha tu,
Hata kama una malengo hayo , bora uoneshe mapema tu, kwamba hili jambo nimweka kuchangamsha jukwaa.
Lakini leo unaongelea mchumba, kesho boyfriend, kesho kutwa mume na ndoa, watu watasindwa kukuelewa kabisaaaaaaaaa!!!!!
Na utakosa ushauri kwa sababu hiyo.
Hata hivo, unaye Mungu aliyekuumba kwa sura na mfano wake,
Yupo Mungu anayekupenda kuliko kitu/mtu yeyote hapa duniani,
Yawezekana ni kweli akili yako imefika mwisho wala hujui ufanye nini kuhusu hilo.
Lakini, pia Mungu hapendi wewe uteseke, tena uteswe na kiumbe ambacho na chenyewe kinaishi kwa neema ya Mungu.
Mi sipo kwenye ndoa, labda linaweza kunifanya nisielewe vizuri namna ya kukushauri, lakini yupo Mungu ambaye anatuwazia mawazo ya amani. Muombe Mungu, chukua ushauri wa watu, ule unaoona utakufaa, ufanyie kazi, na utafanikio.
Ninakuombea furaha, na amani ya moyo wako. Mungu akupiganie katika mapito yote hayo unayopitia, hatimae uwe mshindi.
Barikiwa.
Hamjambo wana jamvi, nina hili tatizo ni miezi mitatu sasa. Mume wangu anataka tigo, ni mtu wa miraba minne ana kilo 110 ni mwanajeshi. Kuna siku akanitigo kwa nguvu, nililia sana nikashindwa hata kutembea. Sasa imekuwa kila baada ya muda fulan anataka tigo. Mpaka sasa kanifanya mara 3. Nimeenda hospital nikapata matibabu. Sasa ananitisha sana nimejaribu kumweleza kaka yake, kipondo nilichopata hakina mfano. Binafsi sipendi huu mchezo kabisa najua madhara yake. Kuniacha hataki. Naumia sana moyoni. Kuwaambia wazaz naogopa. Nisaidien mkakati wa kujitoa kwake au nikashtakije kwa wazazi. Naamin Jf ni sehem sahihi ya kupata michango ya kujenga.
Nyie mnataka kutenganisha ndoa ya mtu mwacheni baadae atazoea kibinadamu, mbona hata mbele wakati anaanza alikuwa anaumia sasa hivi kazoea.
Asante!!
Kumbe una huruma hivyo?? lol
Mpendwa nina huruma sana mwenzio,
Sema sasa habari kama hizi zinatukatisha tamaa ya kutamani kuishi na mwanaume,
Sasa Mpendwa sijui, unatushauri nini, sisi tunaotafuta wachumba.
Hongera sana!
ni kweli zinakatisha sana tamaa. yaani acha tu!
lakini ukijiuliza
1. mabasi ya kwenda mikoani kila siku yanaua watu. Lakini watu hawaachi kusafiri?
2. Ina Mungu aliyesema mtu ataacha baba yake na mama yake akaungane na mpenzi wake alikosea?
Ila mie ninaamini kama ukiwa mwaminifu na kweli unamtumainia Mungu, atakuletea watu wazuri tu. "Hatua za mtu mwema zaongozwa na Mungu" zab 37:23,
Wakristo tunaamini katika Roho Mtakatifu, (ambaye anatuongoza katika malisho yaliyo bora zab23)..pia mtu akiomba mkate kwa babake hawezi kupewa nyoka, zaidi sana kwa wale wanamuomba Mungu.. atawapa tu haja za moyo wao
Tatizo wengi wetu hatumuamini Mungu sana, au tunamlazimisha atuchagulie, au tunaona anachelewa sana au tunaomba abariki tuliokwisha wachagua. hivyo tunajiingiza tu kichwa kichwa.
Kimbembe honey moon ikiisha..mbona balaa??
Dah, asante kwa maneno haya, yameniongezea nguvu ya Imani,
Manake, habari kama hizi ni za kinefili kabisa ujue Mpendwa.
Dah, kama ulivyosema ni kweli Neema ya Mungu ni kubwa kwa wale wanaomtegemea.
Ubarikiwe,
Natumaini mu wazima week end hii,mi naomba mjadili hili swala la mapenzi kinyume cha maumbile(tigo)katika ndoa kwani katika mijadala mingi jambo hili hujadiliwa haswa linapokuwa nje ya ndoa lakini kuna watu walioko kwenye ndoa ambako jambo hili hutokea sana lakini halijadiliwi kwani watu huona kama vile si mahali pake vile!lakini ukweli ni kwamba lipo na wenzetu wazungu hulijadili waziwazi huku baadhi yao wakisema kufurahishwa sana na mchanganyiko wa tigo na ngono mbabadala kwenye ndoa zao na hili eti hudumisha penzi.Ebu wana jamii tulijadili hili kwa wenye maoni zaidi.Mi bado sijaoa hivyo naondoa swala la conflict of interest.