jaribu solution hizi
Kwanza make sure unatumia youtube ya simu yani isiwe
YouTube - Broadcast Yourself. bali iwe m.youtube.com
Pili unaweza download app ya java ya youtube ambayo utaipata getjar au ovi au google kwenyewe
Tatu tumia website zengine zenye video za youtube
Vuclip web video search na
Tubidy Free 3GP Mobile Videos
unaweza pia kunambia ni aina gan ya software ulokua unatumia kustream kabla