wadau mimi natumia nokia x2, na nimedownload operamini 6.5 ambayo ndio natumia kwenye intaneti sasa tatizo linakuja kwenye ku'upload picha ambapo net huwa ina'load bila mafanikio yoyote. Nawasilisha na naomba msaada wenu.
Pia kwenye link nzuri itakayoniwezesha ku'install UCBROWSER naomba anisaidie.