unajua kuingia download mode? siku hizi kuna case simu inaandika inaishiwa na F kama international version halafu kumbe sio, ni model nyengine.
zima simu kisha bonyeza cha kuwashia, home button na cha kupunguzia sauti kwa pamoja ili kuingia download mode
ukiwa kwenye download mode itakuonesha model yako halisi.