msaada ku-upgrade android os from ICS to Jelly bean

oxlade

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
601
Reaction score
96
msaada wenu jamani natumia samsung galaxy music 6010...nataka niipandshe hii os mpaka jelly bean.
shukran
 
umejaribu kucheki update kwa kutumia Samsung kies?
 
mkuu fanya hivi

nenda setting then about then software update then check update kuna message ita pop up click wifi setting then chagua ku update kwa mobile data halafu cheki update.

kama ukiona hupati update google kama nchi nyengine wamereceive hiyo update.

kama wamereceive nchi nyengine idownload hiyo jelly bean ya simu yako then google software inaitwa odin zima simu then iwashe kwenye downlod mode (hapa simu zinatofautiana google kwa njia sahihi) click pda kwenye software yako ya odin halafu locate file letu la jellybean then simu yako itaflashiwa na jelly bean.

apart from that ni risk kueka jellybean ambayo sio official unaweza kubrick simu
 
Je my documents nazo zitapotea au zitaendelea kuwepo?
 
yap zinapotea ila kubackup documents, contacs na media ni rahisi sana kama una pc au internet yenye speed na mb za kutosha.

Kama ni Official update hata kwa Odin data hata moja haitopotea.
 
Kama ni Official update hata kwa Odin data hata moja haitopotea.

possibly mkuu ila kwangu mimi compatibility ilipotea nikawa sifanyi kitu slow kupita kiasi. ikabidi nianze upya
 
ahsante wakuu nimechek google wengi wa uingereza tayari kwao wameupdate hizi mpaka jelly bean na iko official
 
msaada wenu jamani natumia samsung galaxy music 6010...nataka niipandshe hii os mpaka jelly bean.
shukran
upgrade kutumia maelekezo haya ( How To Update Galaxy Music S6010 To Android 4.1.2 Jelly Bean Official XXUBME1 Firmware | Upgrades |~Android Firmware Home ),,haitafuta data zako za simu eg. (music, photos, videos, contacts etc,,) though they recommend kuBackup!! ila kama uliRoot simu yako itaUnroot, kama uliInstal mods zozote au custom recovery zitaondoka ila unaweza kurudisha zote hizo manually..cha kuzingatia ni kuhakikisha simu yako ni factory unlocked (otherwise itaLock Carrier na kukulazimu kufanya process zingine za unlock) pia simu iwe na charge angalau half way,,
 
wakuu nashukuru jamani...lakini nimeogopa kufanya mwenyewe kwa kuhofia kuharibu device yangu..so nimeamua kumtafuta mtaalam yoyote atayeweza kunisaidia hata kwa kumlipa jamani. mtaalam yoyote naomba tuwasiliane ila anisaidie jamani. nashukuru sana jamani.
 

mkuu kama una was was subiria itakuja tu hio update automatic world wide version huchelewa sana.

then kwa budget device kama hio hamna hata tofauti zote ni sawa tu
 
mkuu kama una was was subiria itakuja tu hio update automatic world wide version huchelewa sana.

then kwa budget device kama hio hamna hata tofauti zote ni sawa tu

poa mkuu shukran....
 
Hakuna oficial kwa sasa zaidi ya kuweka rom mpya sababu ma developer wa cm kaziyao wana
Anglia cm iliyo toka ina mapungufugani af wanakupa data jinsi yakufanikisha zoez hilo kupitia internet kama hutoweza achana nayo au unitafute nifanye hiyo kazi seach roting.
Google model ya cm yako mwishon andika rootig utapata maelezo hayo ya pasua kichwa
 
leo nimefurahi nilipo upgrade android 2 kwenda jelly bean kwenye galaxy s2, using odin was easy kama kuflAsh modem ya huawei
 
leo nimefurahi nilipo upgrade android 2 kwenda jelly bean kwenye galaxy s2, using odin was easy kama kuflAsh modem ya huawei

mkuu imekubali na kupga mzigo poa tu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…