Kila niki update whatsapp kwenye TECNO M3 inadowload mpaka mwisho lakin ikianza Ku install inagoma inaandika application error" 960" naomba msaada jinsi ya kutatua hili tatizo
Simu hiyo imekaa kitaichii zaidi ebu jaribu kutumia NOKIA/SONY ERICSON i think these can be best brand to you. Otherwise watakuja wenzako wanaotumia type hiyo ya taichii