Fanya iviFanya ku unstall hiyo iliyokuwepo nenda ka download nyingine ambayo ni latest version. Hiyo ndo solution kwa WhatsApp Gb.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli. Lazima i fail. Haiwez ku write apk file kwenye forder lile lile. Pia kuna ku loose data unless u backup first in Sd cardSio lazima ku-uninstall hiyo whatsapp gb. Njia mbadala unaweza zama google ukadonlod apk ya whatsapp gb kutoka kwa developer huyo huyo
Mfano: uliidonload kutoka tovuti ya www.missingtricks.com basi ukiingia kwenye iyo tovut ukiipakua new version fungua whatsapp gb yako inakua updated .........
Kiongozi mimi huwa nafanya hivyo kabisa na inakubali pasi na shida yoyote ile. Zaidi ninachokionaga nakua na whatsapp gb app mbili moja inakua old na ingine new so old naifutilia mbali nabak na new lakin folder linabaki na data kama kawaidaSio kweli. Lazima i fail. Haiwez ku write apk file kwenye forder lile lile. Pia kuna ku loose data unless u backup first in Sd card
Sent using Jamii Forums mobile app
Fungua hapa, umalize mchezoWadau jinsi ya ku update whatsapp gb maan Inaandika kiarab ata celew mweny ufaham bas anisaidie
Then click continue to download [emoji109]
GBWhatsapp Apk Download Page • Latest Mod ApksMwenye new updates tafadhari msaada