Kawaida ukienda settings then applications utaziona applications zako cha kufanya unaiclick application ulioidownload itafunguka na itakuonyesha option ya move to external(memory card) kama itakua iko saved kwenye simu ukiclick itahamia kwenye memory card,
ukiona inakuambia move to phone jua hiyo iko saved kwa memory card so kazi kwako kuzichagua ambazo ziko saved kwenye move uzimove kwenye memory.
N.B: Usijetoa memory kwenye simu unaweza poteza au corruptisha application ulizozsave kwenye memory.
Nimejaribu kufanya hivyo lakini ile icon ya "Move to SD card" inakuwa inactive (Faint)
Katika simu yangu aina Tecno Phantom Z nime-download applications nyingi na sasa inaniambia hakuna nafasi ya kutosha (insufficient space) ninapotaka ku-update hizo applications.
Kinachonisumbua ni kuwa niki-check storage napata information ifuatayo:
1. internal storage:Total space = 0.98GB; Available = 65.25MB
2. SD CARD: Total space = 7.19GB; Available = 4.89GB
3. Phone Storage: Total space 1.62GB Available = 1.57GB
Tafadhali naomba ye yote mwenye ujuzi anisaidie ni kwa namna gani naweza kuhamisha applications kutoka internal storage kwenda SD card au phone storage ili kupata nafasi ya kutosha katika internal storage na applications hizo ziendelee kufanya kazi!
Natanguliza shukrani zangu!
Copy: Paul S.S