mmura Member Joined Sep 30, 2010 Posts 94 Reaction score 12 Oct 28, 2013 #1 nina simu yangu ya blackberry Z10 sasa hivi sipati application ya whatssApp, inaniambia ni update software yake kwa kutumia wi-fi nimejaribu kufanya hivyo imegoma, msaada kama yupo mwenye idea yeyote
nina simu yangu ya blackberry Z10 sasa hivi sipati application ya whatssApp, inaniambia ni update software yake kwa kutumia wi-fi nimejaribu kufanya hivyo imegoma, msaada kama yupo mwenye idea yeyote
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,805 Oct 28, 2013 #2 kuna group kule FB la jamaa wanaotumia Bbery nakushauri ukacheki