RuwaIkunda Senior Member Joined Nov 2, 2017 Posts 156 Reaction score 278 Oct 12, 2018 #1 Naomba msaada nani anayejua ku unlock simu za kutoka u.s.a zipate kufanya kazi huku Tanzania. Maana nina simu zangu kama 2 za kutoka huko nashindwa kuzitumia huku.! Ahsante!!
Naomba msaada nani anayejua ku unlock simu za kutoka u.s.a zipate kufanya kazi huku Tanzania. Maana nina simu zangu kama 2 za kutoka huko nashindwa kuzitumia huku.! Ahsante!!
The End.. JF-Expert Member Joined Aug 13, 2013 Posts 4,362 Reaction score 3,846 Oct 12, 2018 #2 taja aina ya simu na upo wapi...!!!
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,713 Reaction score 81,958 Oct 12, 2018 #3 Hizo simu hazikubatizwa?
RuwaIkunda Senior Member Joined Nov 2, 2017 Posts 156 Reaction score 278 Oct 12, 2018 Thread starter #4 The End.. said: taja aina ya simu na upo wapi...!!! Click to expand... Samsung Galaxy Note 4, ninaishi sinza A Kwa Remy!!
The End.. said: taja aina ya simu na upo wapi...!!! Click to expand... Samsung Galaxy Note 4, ninaishi sinza A Kwa Remy!!
The End.. JF-Expert Member Joined Aug 13, 2013 Posts 4,362 Reaction score 3,846 Oct 13, 2018 #5 hiyo inawezekana ningekufungulia sema nipo mbali...