Msaada ku unlock simu(huawei y210-0200)

Mahondaw

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
72,009
Reaction score
177,303
heshima kwenu wana MMU,naomba msaada wa jinsi ya kufungua simu yangu Huawei Y210-0200,niliinunua toka kwa mtu ikiwa na Google account yake,nilipoichukua nikaweka pattern password lakini jana aliichukua mdogo wangu akajaribu kuifungua ili atumie akakosea mara nyingi sana na ikawa imejifunga na sasa imeandika SIGN IN WITH YOUR GOOGLE ACCOUNT, kinachonipa shida nimejaribu kuwasiliana na mtu aliyeniuzia kasema alitengenezewa hyo email address na mtu na akaunganishwa hivyo haikumbuki vzuri wala password zake hazikumbuki,naomba msaada wenu kama kuna njia mbadala tofauti na hiyo ili niweze kuifungua,ahsanteni
 
Zima simu then shikilia volume up + power button mpaka menu itokee then achia button kisha chagua wipe data/factory reset then chagua yes then reboot system kushuka shini unatumia volume down kuchagua inatatumia power button au volume up inategemea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…