Msaada ku unlock iphone na ipad

Msaada ku unlock iphone na ipad

45 king

Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
69
Reaction score
18
Wakuu za leo ninahitaji msaada wenu nina iphone na ipad zimejilock zilikua na a/c za mtu mwngne tafadhalini
 
Hiyo tayari imekula kwako unless kama unamjua aliyekuuzia akupe Apple ID na password zake, vinginevyo fikiria kuziuza kama spare.
Tahadhari: kama unanunua kifaa chochote cha Apple ambacho ni second handed hakikisha una reset hicho kifaa na kuingiza Apple ID yako au unafungua account yako kwenye hicho kifaa
 
Iphone gani na ipad ipi?
Na je unajua zinatumia ios gani?

Mara nyingi simu hizo zinakua za wizi na hadi imefika kwako basi hizo haziwezekaniki kutolewa hizo lock
 
Back
Top Bottom